NyotaStream Support Masaa 24
Tupo Hapa Kukusaidia
Furahia burudani ya kipekee bila wasiwasi. Ikiwa una swali, ushauri au unahitaji muongozo wowote, timu yetu ya NyotaStream Support ipo tayari kukuhudumia wakati wowote.
WhatsApp Support
Jibu la haraka ndani ya dakika chache
Piga Simu Moja kwa Moja
Ongea na NyotaStream Support sasa
Barua Pepe Rasmi
Kwa maswali rasmi na ushauri
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pata majibu ya haraka ya mambo muhimu yanayohusu matumizi ya mfumo wako.
Ni rahisi sana. Nenda kwenye ukurasa wa Vifurushi, chagua kifurushi kinachokufaa kuanzia Kifurushi cha Siku, Wiki au Mwezi, weka namba yako ya simu ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au HaloPesa, kisha utapokea ombi kwenye simu yako kuweka PIN kukamilisha.
Jiunge na Gumzo la Jamii
Changia maoni, jadili filamu mpya na pata marafiki wanaopenda burudani kama wewe kwenye Group Chat ya NyotaStream.