One Stream. Endless Stars.
NyotaStream ni jukwaa la kisasa la kidijitali lililojengwa kwa ubunifu wa hali ya juu ili kuleta filamu bora, tamthilia za kusisimua, na matangazo ya runinga ya moja kwa moja moja kwa moja kwenye kiganja chako.
Ubora wa Juu wa Picha
Tunaleta picha zenye ung'avu wa Full HD na 4K zikitumia miundombinu ya kimataifa ya Cloudflare R2 ili kuhakikisha video zinacheza papo hapo bila kukwama wala kuganda.
Malipo Rahisi na Salama
Uwezeshaji wa haraka kupitia mitandao yote ya simu Tanzania ikiwemo M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na HaloPesa pamoja na Kadi za Benki kwa ulinzi mkali wa taarifa zako.
Ulinzi wa Vifaa 3 vya Kutazamia
Furahia uhuru wa kutumia akaunti yako kwenye simu, kompyuta na runinga yako ya nyumbani kwa ulinzi wa kisasa unaokupa udhibiti kamili wa nani anayetumia akaunti yako.
Burudani ya Nje ya Mtandao
Uwezo wa kudownload filamu na tamthilia zote kwa mbofyo mmoja na kuzitazama ukiwa safarini au mahali pasipo na mtandao bila kutumia bando lako mara mbili.
Kukuza na Kuthamini Sanaa Yetu
NyotaStream inajivunia kutoa jukwaa lenye heshima kwa waongozaji, waigizaji na watayarishaji wa filamu za Bongo Movie na za kimataifa ili kazi zao zifikie hadhira kubwa kwa viwango vya juu vya teknolojia.
Unahitaji Maelezo Zaidi?
Wasiliana na timu yetu ya huduma kupitia WhatsApp au namba ya simu 0702 450 527.